Mt. Secilia Makuburi - Sep 3, 2026
Ulishawahi kujiuliza kwa nini unamtumikia Mwenyezi Mungu na sio miungu wengine? Mungu hutuita tufanye kazi yake bila kujali mapungufu yetu, dhambi zetu na majigambo yetu. Mungu hutuchagua kwa kuwa ANATUJUA. Karibu kutazama wimbo maalum unaoelezea jinsi Mwenyezi Mungu anavyotuthamini, kutuinua na kututumia kufanya kazi yake pasi na mastahili yetu. #trending #gospel #catholic #music #motivation WIMBO: UNANIJUA KWAYA: MT. SECILIA - MAKUBURI MTUNZI: Z. GERALD KINANDA: A.J. MYONGA INSTRUMENTS: KMS EXECUTIVE TEAM AUDIO: GLS PRO VIDEO: MDETE TM SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT AND SHARE