BHAKITACHANG'WA by Japhet Zabron (Official Video)
Japhet Zabron - Oct 8, 2026
Trending In
Description
BHAKITANCHANG’WA - JaphetZabron (HATUZUILIKI) AUDIO: DANIEL GONGE MIXING: KATUMBO MUSIC VIDEO:SILVER PRO BHAKITACHANG’WA ni wimbo wa ndoa unaelezea tabia na mila za kabila la kisukuma kwamba ni kabila ambalo lina msimamo ,hawapendi kushindwa,hata linapokuja swala la kuoa kama ni mahali Mwanaume atapambana kuhakisha amepata na kulipia ili apa mke halali kwa baraka za Wazazi pande zote mbili Basi humu ndani sasa wimbo umeelezea mabinti warembo,cheupe dawa ,vijana walionyooka,wapo usukumani, Wasukuma ni wachangamfu kwa asili ,wachapa kazi ,wafugaji , na wakiamua kufanya jambo hawatakagi kushindwa Karibu kwenye Channel yangu kwa baraka ya nyimbo nyingine zaidi.Usiache KU SUBSCRIBE Barikiwa 🙏🏽 #JaphetZabron #BHAKITANCHANG’WA