Rose Muhando Official - Sep 16, 2026
“Sesema” ni wimbo unaozungumza na watu wa rika zote — watoto, vijana, wazee, na kila mmoja katika jamii. Ni ujumbe unaolenga kugusa maisha na kuleta tafakari kwa kila anayesikiliza. ▶️ Nenda YouTube sasa hivi, usikilize na uangalie video ya “SESEMA”. Usisahau LIKE, COMMENT, SHARE & SUBSCRIBE. SPECIAL THANKS 🎧 Audio Production: Lizer Classic 🎬 Video Production: Dr. Mbangwa 👗 Wardrobe: Hilda — @dressroom 🎭 Casting: Magobo wa Jali Muda 🎭 ACTORS @hakikaruben @miriarobert @marrydaud3 SPONSORED BY @nazareth_upete @dressroom Asanteni wote mliohusika kufanikisha kazi hii. #Sesema #NewMusic #GospelMusic #LizerClassic #DrMbangwa #JaliMudaCasting #YouTube #TanzaniaMusic