Neema Gospel Choir - Nasema Asante (Live Music Video)
Neema Gospel Choir · May 19, 2026
Description
Kuna nyakati maisha haya hayawezi kuelezeka kwa maneno mengine zaidi ya “ASANTE YESU.” Wimbo huu ni ushuhuda wa upendo wa Mungu, uponyaji, ulinzi, neema, na uaminifu wake katika kila hatua ya maisha yetu. “Siwezi kukumbuka Baba mara ngapi uliponya afya yangu… wala siwezi kuhesabu mema yote umefanya maishani mwangu.” Kupitia wimbo huu, tunarudi mbele za Mungu kwa moyo wa shukrani, tukisema: “Asante kwa uhai, asante kwa afya, asante kwa furaha, asante kwa uchumi, asante kwa yote uliyotenda.” “Shukuruni kwa BWANA kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele.” — Zaburi 107:1 Wimbo huu ni sauti ya kila mtu aliyewahi kulindwa na Mungu wakati wa giza, akafunguliwa njia pasipokuwa na njia, na akaona mkono wa Mungu katika maisha yake. ---------- CREDITS: Song Performance: Composer: Fredrick Japhet Kilago (Masanja) Leader: Minister Janneth Nehemiah Band: Neema Gospel Choir Horns Section: JTL horns 🇿🇦 Production: Overall Production Management: VICTORIOUS PRODUCTION 🇹🇿 Production Manager: Titus Alfred 🇹🇿 Video Director: Johnson Amigo 🇹🇿 Video Production: VICTORIOUS PRODUCTION 🇹🇿 Audio Production: VICTORIOUS PRODUCTION 🇹🇿 Audio Producer: Fredrick Japhet Kilago (Masanja) 🇹🇿 Audio Co-Producer: Quillian Japhet Kilago 🇹🇿 Audio Capturing: Samuel Mboya 🇹🇿 Sound, Stage, Lights, and Backline by: ABE PROFESSIONAL SOUND Sound Engineer (FOH); Amish 🇬🇧 Sound Engineers (Monitor): Jackson Odindo 🇰🇪 Radio Frequency Engineer: Emmanuel Manu (Badman Production) 🇰🇪 Lights Engineer: Jimmy 🇰🇪 Screen Virtual Engineer: Eugene LeGrande 🇰🇪 Stage Decor: Simply Events 🇹🇿 Live Stage Production Manager - Samuel Gachiri 🇰🇪 Stage Manager - Angie Kabura 🇰🇪 Floor Manager - Derek Mwangi 🇰🇪 #neemagospelchoir #nasemaasante ---------- 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦: Instagram: / neemagospelchoirtz Facebook: / neemagospel X: https://x.com/NeemaGospelChor/ Threads: https://www.threads.net/@neemagospelc... Tiktok: / neemagospelchoir 𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬: WhatsApp: +255 766 777 288 Email: [email protected] Website: www.neemagospelchoir.org ©️2026