LTM MUSIC ยท Apr 24, 2026
LYRICS ZUIA MACHOZI CHORUS Zuia machozi yatiririka mashavuni mwao huenda utaokoa kizazi chako cha kesho Mungu hubariki wale watendao mema hebu zuia machoz yao. 1 Sasa kama Mungu mmoja Rangi ya damu ni moja Hewa twapumua moja Jua lang'a kwa wote Mvua hunyea kwa wote mbona twatesa wenzetu hebu tenda wema na uende zako. 2 Uliye na cheo wewe tunza wadogo wako.Heshima na utu wema Umoja kushikamana. Chunga usiwanyanyase wafanye wakijuta. machozi yao yasikuathiri kesho. Bridge Kuna wale walio jela kwa kusingiziwa tu Zuia machozi yao Mjakazi yule nyumbani mazingira ya kazi ngumu. Zuia machozi yake Mahusiano yaisha ghafla ukosefu wa masilahi tena. Zuia machozi yao Mama wa kambo umyewatesa watoto mke mwenza. Zuia machozi yao 3 Mauaji vifo ajabu familia zinalia. Walofutwa kazi kwa sababu zisizokweli. Vurugano ya wanandoa famila zavunjika Ikiwa wewe u chanzo ya machozi haya zuia. CREDITS Composition:Wiclief Oguta Track: Ben Arrangement: Enock & Lowell Audio: LTM_WORLD Video: Shariff Mixing & Mastering: Daniel J Sign Language: Dolfine M Contact Us On Call/Whatsapp: +254727251675 Email: [email protected] #Gospelmudic #WorshipMusic #ChristianMusic #GospelSong #PraiseAndWorship #NewGospel #GospelArtist #Worship