AslayVEVO · May 1, 2026
Aslay Mtu Wangu ft. Kontawa https://www.youtube.com/channel/UC6jcUzSgU5iiPVOb_zjiCkA https://Aslay.lnk.to/MyWay https://www.facebook.com/AslayOfficial https://www.instagram.com/aslayisihaka/ https://www.tiktok.com/@aslayisiaka Translating to ‘my person’ in Swahili, ‘Mtu Wangu’ builds on the emotional foundation laid by ‘Natulia’. Where ‘Natulia’ introduced a man at peace with his love, ‘Mtu Wangu’ moves deeper into that connection — intimate, assured, and unmistakably his. It is a celebration of choosing and being chosen, delivered through Aslay’s signature pen game, long revered across East Africa for its sincerity, relatability, and poetic precision. MTU WANGU LYRICS Heiiiiii Mmmmmh mmmmmh mmmmh Ololololo My Baby Nanana ah I love you Sikia Alikujaga kudanga kunidangia mmh ghafla kanogewa kaning’ang’ania My weee akashika na mimba kanizaliaa Olololooo hapo ndo penzi letu lilipoanizia mmmmh nikimpa pesa akaanza kuzikataa akiniona na demu anakuwa na wivu nikaanza kumsahangaa akija nyumbani kuondoka mvivu Jama ikawa balaa Nikawa nikimsema anapata maumivu Ghafla nikaanza sinyaa Yote sababu ni Mapenzi ndo yanayofanya nimuelezee Jama anayajua mapenzi Naomba Mungu tuzeeke Nimefunga mlango hakuna kuingia Jama nikifa nitazikiwa hapa Kafauru mtihani mia kwa mia huyu baby Harusi tutaifanya kwa mkapa iiihhh ihhhh Nasema na wewe We ndo mtu wangu aaaah Nyongo mkalia ini Kipenzi changu Mahabuba kipenzi changu weee ndo mtu wangu aaah jamanii Kipenzi changu Tulianza kama utani ambao simba na yanga hawaufikii yaani couple flani kama Hamisa kitasa Azizi Ki eeeh eeeh Wakasema hazai Mpenzi wangu Mimba hawezi kubeba Mi nikamfunga kamba Nikamwambia baby kajifungue leba Wakasema ana chai bado nikaona shega Nikaagiza vitafunia nikaanza kumega watu wanataka majibu nilivyo bandidu Imekuaje tunapendanaa eeh eeeh eeeh Mwenzenu nilijaribu kama Nguo Nikapenda inavyobana na sasa Nimefunga mlango hakuna kuingia Jama nikifa nitazikiwa hapa Kafauru mtihani mia kwa mia Harusi tutaifanya kwa Mkapa oohhhh ohhhh Nasema na wewe We ndo mtu wangu aaaah Nyongo mkalia ini Kipenzi changu Mahabuba kipenzi changu weee ndo mtu wangu aaah jamanii Kipenzi changu